Thursday, March 11, 2010

MACHI 11

Usiku jana (au leo asabuhi?) nilisoma kiswahili kwa saa nyingi, mpaka saa kumi leo asabuhi. Sijui kwa nini. Pengine kwa sababu nilikunywa kahawa au kwa sababa MWISHOWE baada ya siku nane nina afya nzuri. Sasa, nimechoka sana lakini ninataka kuandika kiswahili kuzoezi na kwa sababu ninaipenda lugha hii. Ninapenda kwamba utamaduni wa kiswahili ni na mapenzi sana. Oii oii, Nimechoka sana rafiki zangu! Ninahitaji kufanya kazi zaidi katika masomo. Ninatakwa kwamba rafiki zangu zote wanaweza kusema kiswahili kwa sababu ninataka kuzoezi na wao na kwa sababu kiswahili ni lugha nzuri sana. Moyo yangu inafurahi sana kwa sababu ninasikiliza kwamba maisha ni mzuri, daima, hata ingawa mara nyingine kuna mamba mbaya. Ni sawa. Pengine, nitajaribu kuyatafsiri mashairi yangu kiswahili? Ndiyo. Sasa!

nikikuambia kwamba
ninakupenda
na alafu

ninaendelea mbele
kucheua
kustaftahi changu

je, utakuwa
rafika yangu
bado?

ninaweka dau
kama mimi si
mimi mwenyewe
nitaweza kuridhisha
wewe
mimi
kwamba kulikuwa kucheshi



Heh heh heh, sijui kama ni tafsiri nzuri lakini nilijaribu!

No comments:

Post a Comment