Thursday, February 4, 2010

FEBRUARI 4

Alhimisi ni siku ngumu sana, kwa sababu nina madarasa manne. Ni siku mreeefuu. Lakini, ni sawasawa. Ninaipenda lugha ya kiswahili sana, na utamaduni pia. Leo, darasini mwalimu Okelo alisema (kiingereza) "in swahili we just love, we don't like." Sijui, sijui, lakini ninadhani kwamba lugha na utamaduni ya kiswahili ni nzuri SANA. Ninahitaji kuandika na kusema zaidi, ni adhimu wakati wa mtu anataka kujifunza.