Saturday, July 3, 2010

Usiku jana tulizungumza kuhusu mambo, mambo mengine na nilifikira kwamba pengine, pengine mambo ni sawa. Lakini maisha haitabirika, ni kweli, na ilinitoa rundo ya tamaa. Ninajua, ninajua daima hatumaini sana. Ninahitaji kufanya furaha yangu, na ninajua ninaweza. Ninafanya matatizo mengi yangu, hata ingawa nilijaribu kufanya furaha tu. Leo, ninajisikia bila tumaina na "kukata tamaa"?

Thursday, March 11, 2010

MACHI 11

Usiku jana (au leo asabuhi?) nilisoma kiswahili kwa saa nyingi, mpaka saa kumi leo asabuhi. Sijui kwa nini. Pengine kwa sababu nilikunywa kahawa au kwa sababa MWISHOWE baada ya siku nane nina afya nzuri. Sasa, nimechoka sana lakini ninataka kuandika kiswahili kuzoezi na kwa sababu ninaipenda lugha hii. Ninapenda kwamba utamaduni wa kiswahili ni na mapenzi sana. Oii oii, Nimechoka sana rafiki zangu! Ninahitaji kufanya kazi zaidi katika masomo. Ninatakwa kwamba rafiki zangu zote wanaweza kusema kiswahili kwa sababu ninataka kuzoezi na wao na kwa sababu kiswahili ni lugha nzuri sana. Moyo yangu inafurahi sana kwa sababu ninasikiliza kwamba maisha ni mzuri, daima, hata ingawa mara nyingine kuna mamba mbaya. Ni sawa. Pengine, nitajaribu kuyatafsiri mashairi yangu kiswahili? Ndiyo. Sasa!

nikikuambia kwamba
ninakupenda
na alafu

ninaendelea mbele
kucheua
kustaftahi changu

je, utakuwa
rafika yangu
bado?

ninaweka dau
kama mimi si
mimi mwenyewe
nitaweza kuridhisha
wewe
mimi
kwamba kulikuwa kucheshiHeh heh heh, sijui kama ni tafsiri nzuri lakini nilijaribu!

Thursday, February 4, 2010

FEBRUARI 4

Alhimisi ni siku ngumu sana, kwa sababu nina madarasa manne. Ni siku mreeefuu. Lakini, ni sawasawa. Ninaipenda lugha ya kiswahili sana, na utamaduni pia. Leo, darasini mwalimu Okelo alisema (kiingereza) "in swahili we just love, we don't like." Sijui, sijui, lakini ninadhani kwamba lugha na utamaduni ya kiswahili ni nzuri SANA. Ninahitaji kuandika na kusema zaidi, ni adhimu wakati wa mtu anataka kujifunza.

Friday, December 11, 2009

DECEMBA 11

NIkijaribu kuwa hodari, lakini mimi ni kuwa na kusikitisha sana. Sijui kwa nini au pengine ninajua lakini sitaki kufikiri kuhusu vitu.

Thursday, December 10, 2009

DECEMBA 10

Kesho nitakuwa na mradi kwa hivyo leo usiku nilifanya mazoezi sana. Ninafikira kwamba ninatayari. Ninamaina!

Wednesday, December 9, 2009

DECEMBA 8

Nimechoka sana lakini kesho (leo kweli) ni siku ya thelugi! Ninafurahi sana kwamba sitakuwa na darasa kesho lakini, ninafurahi kwa sababu ninapenda thelugi sana. Mwangaza wakati wa msiumu wa baridi ni kamilifu, vivuli vizuri vya vijuvi na manjano mdogo. Wakati wa uskiku ikikuwa ng'avu bado. Ninasikia salama. Na thelugi ni yenye uangaze sana. Ni nzuri sana, kweli. Sitakuwa mimi zaidi kwamba wakati wa thelugi. (Sifikiri nilisema sahihi, lakini nilijaribu!).

Monday, December 7, 2009

DECEMBA 7

Ninakosa leo wakati wa niliandika kitu kwamba hikikuwa na hisi. Niliandika kitu kizuri kabisa katika leo hizi. Sasa ninaandika na nia na maneno yangu yanaonana kuwa nguvu. Leo, nilifanya kazi ya nyumbani kwa muda mrefu, lakini sikukwisha kitu. Ninataka kujaribu kuendeleza kiswahili changu lakini sijui kama blog hii ni nzuri au mbaya.